UWAKA-1998 ni Taasisi Iliyoanzishwa rasmi Mnamo Mwaka 1998 Kwa dhumuni la kuwaleta wakazi, wenyeji na wazaliwa wote wa Mikoa ya Kaskazini Pamoja. Lengo kuu la Taasisi hii ni Kudumisha undugu na ujamaa baina ya wana kaskazini na Kusaidiana katika vipindi Vigumu kama vile: Misiba.
Wasiliana Nasi Kwa Swali Lolote kuhusu huduma za UWAKA1998 na mengineyo yanayo husiana na UWAKA1998.
© UWAKA1998. Haki zote zimehifadhiwa.