UWAKA-1998 ni Taasisi Iliyoanzishwa rasmi Mnamo Mwaka 1998 Kwa dhumuni la kuwaleta wakazi, wenyeji na wazaliwa wote wa Mikoa ya Kaskazini Pamoja. Lengo kuu la Taasisi hii ni Kudumisha undugu na ujamaa baina ya wana kaskazini na Kusaidiana katika vipindi Vigumu kama vile: Misiba.
© UWAKA1998. Haki zote zimehifadhiwa.